chadema live leo
#LIVE: Tundu Lissu Azindua Kampeni za Chadema – Dar. Chadema yazindua Kampeni Uwanja wa Zakhiem, Mbagala, jijini Dar es Salaam, Mhe. Kutoka maisha ya ufukara hadi kuwa milionea, 'Nilibaini mume wangu anatengeneza picha za ngono', Fahamu umuhimu wa nywele katika sehemu tofauti za mwili, Hadithi ya rais ambaye alikabiliana na corona tofauti na dunia. Samia Suluhu Hassan ndiye rais mpya wa Tanzania. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Vigogo hao walitiwa hatiani kwa makosa 12 baada ya Hakimu mkazi mkuu kuridhishwa na ushahidi uliowasilishwa na upande wa Jamhuri. Baraza Kuu la CHADEMA Taifa linaketi leo Alhamisi Disemba 19, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, agenda kuu ikiwa ni pamoja na Kuthibitisha Uteuzi wa Katibu Mkuu wa Chama na Naibu Katibu Mkuu wa Chama, Tanzania bara na Zanzibar na Uchaguzi wa Wajumbe wa Kamati kuu ya Chama. “Hatukudharau kikao, tuliomba tu Wiki moja mbele, Mbowe amenijenga […] Duru za kisiasa nchini zinaonesha kuwa wimbi la watu wanaokichangia chama hicho ili kuwaokoa viongozi wao, limetafsiriwa kuwa mwanzo wa heka heka za kisiasa, mwamko wa kiu ya demokrasia, uthubutu na uhuru wa wananchi kuelekea uchaguzi mkuu. Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kawe ambaye kwa sasa ni mbunge Viti Maalum kupitia CHADEMA, Halima Mdee amesema licha ya maneno mengi kuzuka kuwa yeye amenunuliwa, yeye hawezi kununuliwa na mtu wala chama chochote sababu thamani yake ni kubwa kuliko mtu au chama chochote cha siasa. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya ... 1. Wabunge wote wa CHADEMA ambao wanahitimisha siku 14 za kujitenga kwa kukaa nyumbani na kutohudhuria shughuli za Bunge, vikiwemo vikao vya Bunge, ndani ya ukumbi na kamati zake, leo Ijumaa wanatarajiwa kurejea Bungeni baada ya kuwa na uhakika kuwa hawana corona. Taswira inayopatikana ni kuanza upya, kukubali mwanzo mpya. Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje. ... You need one to watch live TV on any channel or device, and BBC programmes on iPlayer. Share. Hamasa hii inaweza kutumika kuwahimiza watu hawa kupigia kura chama hicho ifikapo Oktoba 2020," ameongeza Dk. MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI NA KAMATI KUU YA CHADEMA 31/08/2016. Mbadala wa faini hiyo ni kutumikia kifungo cha miezi mitano jela. Wakili Sweetbert Nkuba, amemwambia mwandishi wa makala haya, "Kisheria imekuwa ya haki na imezingatia hekima ya Mahakama. ===== "Mafurikoo Ya Wananchi Wa Iringa Kwenye Viwanja Vya Mwembe Togwa KatiKati Ya Mji Wa Iringa. By. Posts. Chadema yazindua Kampeni Uwanja wa Zakhiem, Mbagala, jijini Dar es Salaam. Mshikamano huo ni muhimu mno kuelekea uchaguzi mkuu wa urais, ubunge na udiwani. Uchaguzi 2020 TBC kurusha live uzinduzi kampeni za CHADEMA leo Zakhiem. Mwitiko wa wafuasi wa CHADEMA na wadau katika harambee ya kuwaokoa viongozi hao na mkono wa dola, zimeonesha kuwa upo uwezekano wa vuguvugu la kimya kimya sawa na kusema mioyo yao imeshikamana kupitia tendo hilo, kuanzia mahakamani ambako mamia ya wafuasi walijitokeza kusikiliza hukumu tajwa hadi kuwanasua viongozi hao kwa kuchangia sehemu ya faini. Thread starter Azim Sokoine; Start date Aug 28, 2020; Tags ... wa Tbc kwa kutaka kuwaonyesha watanzania Nini Tundulisu na chadema wanataka kwenye hii nchi kwa kutumia mkutano wao wa Leo chadema wataongea kila kitu Kwan Mgombea wao Hana stara ila mihemko tu Tundu Lissu ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe, mkoani Mbeya, Mhe. Je hukumu hii ina maana gani kwa Chadema? MBOWE AHUKUMIWA KWENDA JELA AU MILIONI 350, KESI YA MAUAJI YA AKWILINA … Vigogo hao walitiwa hatiani kutokana na makosa waliyotenda Februari 16 mwaka 2018, katika viwanja vya Buibui wilayani Kinondoni mkoani Dar es salaam. See All. Nini tafsiri ya hukumu hiyo kisheria na kisiasa? Mwenyekiti wa NEC, Semistocles Kaijage. "Nilihuzunika sana pale ambapo Viongozi wengi wa dini walikaa kimya wakati Lissu alimiminiwa risasi, lakini zinapokuja Ndege Uwanja wa Taifa, wanavaa misalaba yao mikubwa na maombi mazitomazito" @MsigwaPeter Mjumbe wa Kamati Kuu @ChademaTz Hizi ni picha za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu akiwa Sumbawanga Mkoani Rukwa leo ikiwa ni muendelezo wa kampeni za Chama hicho kuelekea uchaguzi Mkuu wa October 28 2020. . Leo wanaendelea na Ushahidi, Serikali imetoa hati 10 za Viapo vya Mashahidi. Wengine ni Secilia Pareso, Hawa Mwaifunga, Kunti Majala, Ester Matiko Sophia Mwakagenda, Naghenjwa Kaboyoka, Salome Makamba, Grace Tendega. on. Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Akizundua mfumo huo mjini Morogoro leo (16.03.2021) Prof. Mkenda mbali ya kuupongeza,amesema mfumo wa Kizimba utawezesha vijana wengi kujiunga pamoja kama ushirika na kutumia ardhi kuanzisha shughuli za uzalishaji mali ikiwemo kilimo kwa usimamizi wa wataalam wa taasisi hiyo. Tuendelee kuwachangia Mawakili wa Mdude Nyagali. Mahakama ya Kisutu leo March 10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. BRING BACK OUR "HEROES" BEN SAANANE & AZORY GWANDA ALIVE Share. "Kisiasa hukumu hii imewainua na pengine wameitumia kama karata ya kuwarudisha kwa wananchi. Kwa habari za huwakika za kila saa tutakuwa hewani mda kwa mda mwafaka/CHADEMA Tundu Lissu amesema kuwa ili kuharakisha utekelezaji wa agenda kuu za Chadema katika Uchaguzi ... Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama ... 1. Vuguvugu limeibuka nchini Tanzania baada ya wafuasi, wadau wa demokrasia na utawala bora kuitika wito wa kukichangia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Habari kubwa kwenye magazeti leo, Machi 17, 2021; Habari kubwa kwenye magazeti leo, Machi 15, 2021 ... Nyalandu aanza kazi Chadema, Maajabu ya ‘tajiri’ aliyetaka kununua mahekalu za Lugumi. 83,676 talking about this. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, MHE. Kwa sababu ni kesi ya jinai, na ingeweza kuathiri ushiriki wao katika uchaguzi endapo hukumu ingekuwa ya kifungo cha zaidi ya miezi sita, lakini sasa wameshajua hukumu kwa hiyo watakuwa huru kushiriki uchaguzi ujao,", Ameongeza kwa kusema, "Kwa kuzingatia hukumu yenyewe, utagunuda kuwa CHADEMA wamekimbilia kulipa faini bila kujali kiasi cha fedha, kwa kuwa watahitaji kuwa huruma na kutumia vizuri kila dakika kuanzia sasa hadi Oktoba ili kukipa uhai chama chao ambacho hakijashiriki shughuli za siasa kikamilifu kwa muda mrefu. Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Kamati Kuu ya Chama hicho iliyoketi leo Nov 27,2020 imeazimia kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge Viti Maalum “wamekinajisi Chama na wamekataa kuja kwenye Kamati Kuu” ”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, … Leo Tarehe 4, Agosti 2020, Mkutano Mkuu wa Chama una kazi ya kutekeleza kazi zake, ikiwemo “kuteua mgombea wa Urais na mgombea mwenza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar,” inavyoelekezwa kwenye ibara ya 7.7.10 (c). …>>>>“Wabunge wetu wote waliotekeleza makubaliano na uamuzi wa Chama na Wabunge wa … Usibaki nyuma, fahamu Chama kinapoelekea. Duru za kisiasa zinaeleza kuwa halikuwa suala la mwenendo wa kesi yenyewe na wahudhuriaji Mahakamani, bali hata matokeo ya hukumu yaliyotolewa yameonesha dhahiri CHADEMA na wadau wa demokrasia wana mshikamano mpya kupitia uchangiaji wa fedha za kulipa faini tajwa na kulitumia suala hilo kuwa mtaji wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu. vigogo kwenye kinyang'anyiro chochote cha kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa urais, ubunge na udiwani ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu. Kwanza wamehimiza kuchangiwa, kitu ambacho kinahamasisha mshikamano wa wanachama na wananchi kwa ujumla. Richard Mbunda, mhadhiri wa Sayansi ya Siasa kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam amemwambia mwandishi, "Kwa mantiki ya muda, hukumu ya viongozi wa CHADEMA imetoka kwa wakati mwafaka kwao, kwani kesi ilikuwa inawapa wakati mgumu. Suala pekee ambalo linasubiriwa kwa sasa ni mazingira ya uchaguzi mkuu iwapo yatakuwa huru,haki na kukidhi viwango vya kimataifa na kuleta athari chanya kwa demokrasia na utawala bora nchini Tanzania. Namna 'tingatinga' John Magufuli alivyoiongoza Tanzania kwa miaka sita, Wafahamu viongozi wa Afrika waliofariki madarakani, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Mabaki ya kipekee ya Biblia yapatikana Israel, Fahamu sababu za nywele kudondoka na tiba yake. Mh Lissu akipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam leo kuelekea Mkutanoni. tafadhari subscribe huu ni ukurasa wa chadema in blood youtube Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa ... Taarifa kwa vyombo vya Habari – Kuhusu Vitambulisho NIDA, Taarifa kwa Vyombo vya Habari – 10 Nov, 2019. © 2021 BBC. Wabunge 19 wa Viti Maalum kutoka CHADEMA wakiongozwa na Halima Mdee na Esther Bulaya wamewasili ktk Viwanja vya Bunge leo kwa ajili ya mchakato wa kusajiliwa na kula kiapo, Jijini Dodoma. Kama kifungo kingekuwa kirefu wangepoteza hadhi yao ya ubunge na pengine kukosa sifa za kugombnea katika uchaguzi ujao. Freeman Mbowe akizindua Sera ya CHADEMA toleo la ... Mnamo Juni 18, mwaka huu, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ... TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KWA KAULI YA DKT. comments. Tundu ... 1. LIVE Mar 10, 2020 LIVE: Kutoka Mahakamani hukumu ya Mbowe na Viongozi wenzake CHADEMA. Kwa mujibu wa Hati ya mashtaka imeonesha kuwa makosa ya wanasiasa hao ni kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano bila kibali, uvunjifu wa amani pamoja na uchochezi. Tutawalea Updates ya kile kitakachojiri kutoka Mlimani City. Mbunda. Share. Na leo ni mkutano Mkuu wa CHADEMA. Vigogo wa CHADEMA walitiwa hatiani kutokana na makosa waliyotenda Februari 16 mwaka 2018. Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee (Mb) akiongea katika semina ya mafunzo kwa Viongozi wa BAWACHA kutoka katika mikoa ya Tanzania yanayofanyika Dar es salaam leo Jumamosi tarehe 07 Machi, 2020. MWAKYEMBE, SERIKALI IONESHE MFANO ISIFUNGIE TENA CHOMBO CHA HABARI, HOTUBA YA BAJETI MBADALA YA KAMBI YA UPINZANI ILIYOKATALIWA BUNGENI LEO HII, TANZIA: RATIBA YA KUAGA NA MAZIKO YA MHE.KASUKU BILAGO MBUNGE WA JIMBO LA BUYUNGU, MKOA WA KIGOMA. Tundu Antiphas Lissu ... Mhe Lissu na Mgombea Mwenza Mh Mwalim wakiwa Njombe. Mchango huo ni wa kusudio la kupata fedha kulipa faini ya shilingi milioni 350 ambazo wanadaiwa viongozi wa chama hicho kutokana na kutiwa hatiani kwa makosa 12 kati ya 13 katika kesi ya jinai namba 112 ya mwaka 2018. Pascal Mwakyoma TZA. Political Organization. Mgombea Urais wa Chadema anafanya kampeni kata kwa kata. Tundu Lissu katika kampeni Kanda ya Kaskazini. Mamia ya wafuasi wa CHADEMA na wadau wa demokrasia na utawala bora nchini Tanzania wameitika wito wa kuwachangia Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mwenyekiti wa chama hicho na Mbunge, wa jimbo la Hai mkoani Kilimanajro, Freeman Mbowe, Halima Mdee (Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema na mbunge wa Kawe), Esther Matiko (Mbunge wa Tarime Mjini na Mwenyekiti wa chama, hicho kanda ya Serengeti), Esther Bulaya (Mbunge wa Bunda), John Heche (Mbunge wa Tarime Vijijini), John Mnyika (Mbunge wa Kibamba), Peter Msigwa (Mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa chama. Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ... Picha mbalimbali zikionesha Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa ... Picha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa Tiketi ya Chadema, ... Picha za matukio mbalimbali zikionesha mapokezi makubwa ya Mgombea Urais wa JMT ... Picha za uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ... Picha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ... Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. TUNDU LISSU AFANYA IBADA YA SHUKRANI KANISANI, KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK), NEC IJINASUE KATIKA TUHUMA ZA KUHARIBU NA KUVURUGA UCHAGUZI, BAADA YA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU, MASUALA SABA YA MUHIMU; UCHAGUZI HURU NA HAKI NCHINI, MWENYEKITI CHADEMA TAIFA KUOINGOZA UZINDUZI WA SERA YA CHADEMA TOLEO LA 2018, KWA KAULI YA DKT. Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje. November 24, 2020. Mhe. Hapo ndipo wakili wa uetetezi, Peter Kibatala alitumia kifungu cha 127 (2) cha sheria ya Kanuni za Adhabu ili walipe faini kama mbadala wa adhabu ya kifungo cha kwenda jela miezi mitano. Tundu Lissu Azindua Kampeni Kanda ya Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu). hicho kanda ya Nyasa) na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu. Je Marekani na China wako kwenye vita baridi'? Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA , bwana Freeman Mbowe. MWAKYEMBE, SERIKALI IONESHE ... HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA ... Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kutoa taarifa ya kulaani na ... Tunautangazia umma kuhusu ratiba ya kuaga na mazishi ya Mbunge wa Buyungu ... TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA UHURU WA HABARI NI DEMOKRASIA ... " Nchi yetu inaongozwa kwa sheria...Hatuwezi kuchagua kiongozi asiyeheshimu sheria akawa anaongoza nchi kwa kushauriwa na mkewe, maana hamjui kesho akiamka atamshauri nini??" Dk. Mahakama ya Kisutu leo March 10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA … ", Hati ya mashtaka imeonesha kuwa makosa ya wanasiasa hao ni kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano bila kibali, uvunjifu wa amani pamoja na uchochezi. Usikose kuyasikia madini ya Lissu, leo kata ya Isman. 0762797089 CHADEMA NYASA. Mheshimiwa Tundu Lissu Akiwa Jukwaa Amenadi Sera Zifuatazo... 1. Kwa vyovyote vile CHADEMA na viongozi wake wamepata fursa ya kutengeneza ajenda ya kuingia nayo kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu kupitia kesi zao. Mh Lissu akipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam leo kuelekea Mkutanoni. Tanzania iko tayari kuwa na Rais mwanamke? 3.9K likes. Je, mshikamano kuwanufaisha kwenye uchaguzi mkuu? 5,252 talking about this. CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA ... TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA ... TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA NEC IJINASUE KATIKA TUHUMA ZA ... Kumekuwa na taarifa zinazosambaa katika njia mbalimbali za upashanaji habari mitandaoni na ... TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU: BAADA YA HUKUMU YA ... Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Mhe. Chama na wahusika wenyewe wanao uwezo wa kulipa faini lakini hata hivyo wametumia mwanya wa kuwaomba wananchi wawachangie na mwitiko kama ni kweli ama ni wa kutengenezwa kwa vyovyote umewarudisha kwenye mstari sahihi wa kisiasa ukizingatia vyombo vya habari vya nje na ndani vimeliangazia suala lao na kutoa kipaumbele,". Picha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ... Soma zaidi. by Chadema Makao Makuu 2 in Bavicha, Bawacha, Bungeni, Habari, Chadema TV, Habari, Habari, Habari Matukio, Habari, Habari Picha, Bungeni, KUB, Matamko, Press Release Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Mhe. Mjadala mkubwa umetamalaki kutokana na hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam iliyotolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba dhidi ya vigogo wa CHADEMA, ambapo hoja, kubwa zimejikita katika uhuru wa Mahakama, vuguvu la wadau wa demokrasia, mshikamano wa wanachama pamoja na viongozi hao kukwepa mtego ambao ungekigharimu chama hicho kwa kupoteza. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anazindua kampeni zake za uchaguzi mkuu leo Ijumaa 28 Agosti 2020 katika Viwanja vya Zakhiem-Mbagala jijini Dar es Salaam. "Lakini naona CHADEMA wanajaribu kutumia hukumu hii kama mtaji, kwa kuibua huruma ya wapigakura. BAWCHA MKOA WA DAR ES SALAAM WAAZIMISHA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI … Amesema, NEC kupitia kwa mkurugenzi wake, Dk. Soma zaidi…, LISSU; MPANDA, KIGOMA; NITAKUWA RAIS WA KATIBA MPYA, KIGOMA ONGOZENI MAPAMBANO, LISSU IRINGA; MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE, Mhe. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni kwa Kanda za Unguja na Pemba, Mh Lissu akidhuru Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe na Iringa, Mhe. Lakini hakimu amezingatia na kutoa kifungo kifupi chenye mbadala wa faini. LIVE: Wabunge Viti maalum CHADEMA wakiongoza na Halima Mdee wanaapishwa. JKN, "Werevu wakikaa kimya, wapumbavu huongezeka" - N. Mandela, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliasisiwa na kuanzishwa takribani miaka 22 iliyopita, hatua hii ilikuja kutokana na mageuzi makubwa yaliyokuwa yanashinikizwa na mataifa makubwa duniani na Umoja wa Mataifa. Chadema Breaking News Mpeperusha bendera wa Chadema kupitishwa rasmi kesho Jumanne. Chadema walalamikia hukumu dhidi ya viongozi wao. Mnyika amesema, Chadema kimeshangazwa na uteuzi huo kwa kuwa, iliwasilisha taarifa rasmi NEC kwamba, haijateua wabunge hao na kwamba, tume hiyo kupitia barua ya tarehe 10 Novemba 2020 iliijibu Chadema, ikikiri kutopokea orodha hiyo. BBC haihusiki na taarifa za kutoka mitandao ya nje. Pombe ujue Watanzania wa leo sio wajana..Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu ... CHADEMA Media was live. Chadema Net. Tweet. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ... Msafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika leo Makao Makuu ya CHADEMA, jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Uenezi, Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema ameyataja masuala hayo 7 ambayo CHADEMA kinaamini ni sehemu muhimu ya mjadala wa muda mrefu nchini kuhusu hitaji la chaguzi huru na za haki, kuwa ni pamoja na; Ratiba iliyotolewa leo Alhamisi tarehe 27 Agosti 2020 na Tumaini Makene, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Chadema inaonyesha Lissu na mgombea wake mwenza, Salum Mwalimu watatumia siku tatu jijini Dar es Salaam. August 31, 2016. Vuguvugu limeibuka nchini Tanzania baada ya wafuasi, wadau wa demokrasia na utawala bora kuitika wito wa kukichangia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mchango huo ni … August 28, 2020 by Global Publishers. Kwa mujibu wa gazeti la kila siku la Mwananchi, toloe la Machi 11 mwaka huu lenyewe limeripoti kuwa adhabu ya faini ilisisitizwa mbele ya Hakimu Simba kufuatia maombi ya Wakili mkuu wa serikali, Faraja Nchimbi aliyebainisha kuwa washtakiwa wametenda makosa hayo kwa mara ya kwanza.